nahitaji kusoma topic zote za advance matheematics mimi ni private candidate natarajia kufanya mtihani mwaka huu may namba zangu ni 0716457094
bado ya ndalichako ujaikamilisha pia mbele kuna forward wake anjela kairuki ...Yaaah plain B. Baada ya A ya ndalichako kufeli
ume win mkuu maana walimu wa sanaa matumbo joto now....Mona hapa nilipo siwazi ktu kutoka Kwa mzee wa nchi wala Mama wa elimu
Yaaan hata Mwalimu wa science asje kujitapa mana hadi miaka 3 ijao hizo ajira zaeza potea... Ni kutafuta uzoefu wakat wasoma mana kaz za praivert zataka una uzoefu gan na ufaulu mzuriume win mkuu maana walimu wa sanaa matumbo joto now....
kwer ndugu kwa sasa naona tunaisogelea kenya na naigeria wasomi lukuki hakuna ajira ndo vendor ana masters kondacta ana diploma ama degree mara ffu ana masters miaka 5 mbele..Yaaan hata Mwalimu wa science asje kujitapa mana hadi miaka 3 ijao hizo ajira zaeza potea... Ni kutafuta uzoefu wakat wasoma mana kaz za praivert zataka una uzoefu gan na ufaulu mzuri
nakumbuka mheshimiwa akiwa na PHD alimlilia mzee wa nchi ampe kaz mana hana pa kwendakwer ndugu kwa sasa naona tunaisogelea kenya na naigeria wasomi lukuki hakuna ajira ndo vendor ana masters kondacta ana diploma ama degree mara ffu ana masters miaka 5 mbele..