mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,174
Wana JF,
Kweli dunia sijui ndio inakaribia? Kuna kijana mtaani kwangu juzi nimemwambai sasa umri unamtupa bora tu akaoe, alinipa jibu moja kidogo nizimie, eti anadai hana haja ya kuoa kwa sasa, eti kwa mwanamke nafuata utelezi raha zangu ninazo mwenyewe, nilivyomuuliza zaidi kulikoni, anasema anaumizwa sana na mawazo kwani kuendesha boda boda ameona mengi, amewavusha wengi hata ambao alikuwa hategemei, hivyo aliamua kula-nyeto kwani anaona akioa anaamini hataibiwa tu. Je wewe huna tamaa nao, akasema sie huwa tunawapata kirahisi, wakati anampeleka wakati mwingine hakizidiwa naye anaomba gemu, mwanamke hawezi kukataa maana anajua hakikataa yawezekana akalisanua, tokea hapo jua kuwa hili mwanamke asiangaike na boda mwingine umchagua yule yule ambaye ni "chungu aliyeona kivuno"
Yaani hawa ni zaidi ya balaa, kwa sababu wao wanaomba kitu kwa kutumia mikwara ya kumsemea mtu kwa mumewe.kuna wakati mafundi cherehani walikuwa vinara wa kula wanawake,wakaja madereva teksi,wakaja wauza mitumba,wakaja maafisa wa benki ikawa shida ya mjini,ma HR nao nao hawakubaki nyuma,ghafla wauza chipsi wakawa vinara wa uharibifu tena kwa vibinti vidogooooo....sasa madereva wa bodaboda wameshika usukani!!!
Yaaani ni kwamba kwa mwanamke anafuta kuchochea utelezi ili azitoe mbegu ila akipiga kun-yeto zinatoka vile vile hivyo wakati wowote anaweza zitoa bila mwanamke. Hivyo wakina dada hakuna haja ya kuwawaza sana. Kuusu chungu kuona kivuno ni kwamba Yule mwanamke analiwa na jamaa kila siku au mara kwa mara sasa wakiwa njiani naye anaomba anakula upya, yeye anajifananisha na Chungu (Mdudu) kula ganda (Mwanamke aliyetumika) Muwa (mwanaume aliyemtumia) Kivuno (yaani chungu ndio kwanza ameona amempata mpya)Hapo nahitaji tafsiri maana nimetoka kapa!
unaemtegemea kwa nyege za gaflakuna shughuli za ghafla jamaN na mimi HOM huwaga ninae m1 tu,,, tena ninaemjua na wanamjua vema HOM,, na ndie tunaemtumiaga kwa shugul za ghafla.
Bila kuwasahau wapiga picha.kuna wakati mafundi cherehani walikuwa vinara wa kula wanawake,wakaja madereva teksi,wakaja wauza mitumba,wakaja maafisa wa benki ikawa shida ya mjini,ma HR nao nao hawakubaki nyuma,ghafla wauza chipsi wakawa vinara wa uharibifu tena kwa vibinti vidogooooo....sasa madereva wa bodaboda wameshika usukani!!!
wapiga picha siku hizi hawana dili nafasi zao zimechukuliwa, wakina dada wanajipiga wenyewe.Bila kuwasahau wapiga picha.
nakusamehe bure!!!!! Kwa Akil na shombo zako za FB & BADOO.na ndie
unaemtegemea kwa nyege za gafla