Dawa ya jambazi sio kupewa pole ni kupigwa ikiwezekana kuuawa kabisa.Duuuuuh. Kudundana twapeana hongera badala ya pole. Siasa uchwara mbaya sana. Nafuu JPM kaamua kufanya yake na wanasiasa waendelee na ya kwao. Maana akianza kuwafuatilia wafanyayo wanaweza kumuondoa kwenye barabara na kukuta anaingiza porini Lori.
Nyie huku twanganeni na hakuna wa kuamulia hadi wenyewe mpate akili. Dadadeki.
Nimefurahi sana kibaraka wa lipumba alivyokula kipigo cha mwana ukome sijui kama atakubali tena kutumiwa na Lipumba a.k.aBwana yuleWewe Ni mwehu!!!
Utashabikiaje fujo kichaa wewe!!
Hata wewe akili yako inaharibika unavyokubali kutumiwa na Liprofesel mzee debe tupuChadema mnaiharibu CUF sio mambo hayo na hii dhambi inawahusu sijui kama mtasalimika 2020
Chadema mmepoteza image yenu ya chama cha wapinga ufisadi, chama cha wapenda haki na pia mmejisahau sana mpaka kufikia kukumbatia maovu na madudu ya ccm ya enzi zile.Hata wewe akili yako inaharibika unavyokubali kutumiwa na Liprofesel mzee debe tupu
Safi sana mabibo,hata hivyo naona Huyo kibaraka hajabanwa vizuri aeleze waliomtuma na kiasi cha pesa alichopewaHii ni message kubwa sana kwa Lipumba mwenyewe, wafuasi wake na serikali ikiwakilishwa na msajili wa vyama, kuwa, pamoja na yote yanayofanywa na serikali kwa mgongo wa msajili na vyombo vya dola kumsaidia Lipumba kuihujumu CUF, lakini leo UMMA wa watanzania umekataa umewaambia wazi kuwa jamii inaona na inajua nani mkorofi ndani ya CUF.
Kwa Umoja wao wananchi wamekataa uonevu, bila kujali vyama vyao wamesimama upande wa HAKI wa viongozi halali wa CUF, wameulinda uongozi halali kwa hali na mali kwa kuwapa kisago kitakatifu vibaraka wa prof. Lipumba mwenyekiti aliyejiuzulu na baadaye kufukuzwa uanachama. Sijui kama watarudia tena.
View attachment 499658
Hongera sana wananchi wa Mabibo Kinondoni kwa kweli leo mmenifurahisha sana na mmekonga nyoyo za wapenda amani wengi, bila ninyi huenda madhara makubwa yangetokea.
Wewe unatumia akili au?jee nani aliyeanzisha virugu hapo mabibo?Chadema mmepoteza image yenu ya chama cha wapinga ufisadi, chama cha wapenda haki na pia mmejisahau sana mpaka kufikia kukumbatia maovu na madudu ya ccm ya enzi zile.
Nani aliyekimbia wenzake kipindi cha kampeni????ruzuku inatoka nzuri baada ya uchaguzi, eti anaitaka na yeye.Si alisema amepata kazi nzuri Rwanda?Chadema acheni kuiharibu CUF narudia kusema
Virugu gani?Wewe unatumia akili au?jee nani aliyeanzisha virugu hapo mabibo?