B BabuMkubwa JF-Expert Member Joined Feb 11, 2017 Posts 2,463 Reaction score 3,641 Mar 5, 2025 #21 Intelligent businessman said: Infringement of privacy is a crime offense, yeye kauliza mahali wewe waanza ujuaji wa personal info. Click to expand... Pale kuna kambi ya jeshi,je kama anataka kufanya hujuma.
Intelligent businessman said: Infringement of privacy is a crime offense, yeye kauliza mahali wewe waanza ujuaji wa personal info. Click to expand... Pale kuna kambi ya jeshi,je kama anataka kufanya hujuma.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,211 Reaction score 96,058 Mar 5, 2025 #22 BabuMkubwa said: Pale kuna kambi ya jeshi,je kama anataka kufanya hujuma. Click to expand... Yaani awe na mpango mbaya, halafu aje aulize location jf?. hivi mna jua usiri una maana gani kwenye mipango, haya mawazo yenu yana chekesha sana.
BabuMkubwa said: Pale kuna kambi ya jeshi,je kama anataka kufanya hujuma. Click to expand... Yaani awe na mpango mbaya, halafu aje aulize location jf?. hivi mna jua usiri una maana gani kwenye mipango, haya mawazo yenu yana chekesha sana.
The ice breaker JF-Expert Member Joined Apr 20, 2023 Posts 1,119 Reaction score 2,427 Mar 5, 2025 Thread starter #23 Wakuu.. nipo somewhere Cheka
M Mtutuwandei JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 1,890 Reaction score 2,562 Mar 5, 2025 #24 The ice breaker said: Wakuu.. nipo somewhere Cheka Click to expand... Umekaribia. Endelea na safari.