NAFASI CHACHE ZA SHULE
Je,wewe ni Mwanafunzi wa kidato cha Tatu uliyekwama kuendelea na masomo au unaetafuta shule ya boarding? au umekwama kwa namna yoyote ile na unahitaji msaada kwa ajili ya kuendelea na masomo? Ndoombo Sekondary kupitia wafadhili wao wanazo nafasi chache za msaada katika masomo. Shule ipo Arusha - Tengeru. NI KWA KIDATO CHA TATU TU (wanafunzi 8 wa bweni tu). Mawasiliano: 0753664489