Habari za asubuhi!
kwa wale wadau wa utalii, vp kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa na TANAPA tarehe 17/12/2014? bado kimya au
kuna lolote mtujulishe basi, tusije tukawa tunajipa moyo kumbe tumepitwa, mtandaoni tumecheki hakuna result.
asanteni kwa taarifa wadau.