Nafasi za udiwani katika jimbo la Kongwa

Joined
Jul 31, 2012
Posts
21
Reaction score
3
Habari wajf,
Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015, jimbo la uchugazi la Kongwa lina kata 22 ambazo kwa sasa zote zipo chini ya CCM. sasa kwa wale wote wapenda maendeleo hii ni fursa ya kujitambua, kuthamini na kuchukua hatua ili kujaza nafasi wazi za udiwani katika uchaguzi 2015. maandalizi mapema ndio msingi wa kufanikiwa.

Naomba wanajf kutoka kongwa kujaza nafasi hizi kulinga na kata husika mapema kwani kutakuwa na mafunzo ya kujengeana uwezo na katika hiyo timu tutampata mgombea safi na mwenye uwezo katika nafasi ya ubunge.

Mi naanza na kata ya Hogoro.

awasilisha.
 
Kuna jitu linaitwa liMkanwa limetoka mpwapwa ,siasa za mpwapwa zimelishinda limekimbilia huko kongwa eti nyie mnaliita jembe mmelipa hadi ujumbe wa nec kwenye lichama lao hilo, kwa hali kama hiyo kweli kongwa kuna hata dalili za ukombozi? mbunge mwenyewe Ndugai ubunge umemsaidia mwenyewe tu kwa kupata mke mpare na doctor basi sasa inanitia mashaka sana kuweza kufanikiwa kwa huu mda mfupi. anyway jaribu kuwaconvice akina white, Yona Chilangwa, Jack Tito Fungo, Athumani , Hamis Kunguni a.k.a Chawa na wengine wabadilike, kwenye CCM yao watakaa sana.

Wape mfano hai kimbiza kimbiza ya CHADEMA serikalini hakukaliki wanafukuzana ovyo, Tanasco, TBS, Bandalini, kiti cha Spika kiko hot,police wamefukuzwa, wakati li-CCM lao limeshika hatamu watu hao walikuwa wamelala usingizi totolo.

Kongwa kuendelea kuwakumbatia CCM nikutaka kuendeleza usingizi. mfano hai mabomba ya maji yale aliyoyaorodhesha Ndugai lipi linatoa maji? wakibisha tuyapige na picha.
 
Kuna jitu linaitwa liMkanwa limetoka mpwapwa ,siasa za mpwapwa zimelishinda limekimbilia huko kongwa eti nyie mnaliita jembe mmelipa hadi ujumbe wa nec kwenye lichama lao hilo, kwa hali kama hiyo kweli kongwa kuna hata dalili za ukombozi? mbunge mwenyewe Ndugai ubunge umemsaidia mwenyewe tu kwa kupata mke mpare na doctor basi sasa inanitia mashaka sana kuweza kufanikiwa kwa huu mda mfupi. anyway jaribu kuwaconvice akina white, Yona Chilangwa, Jack Tito Fungo, Athumani , Hamis Kunguni a.k.a Chawa na wengine wabadilike, kwenye CCM yao watakaa sana.

Wape mfano hai kimbiza kimbiza ya CHADEMA serikalini hakukaliki wanafukuzana ovyo, Tanesco, TBS, Bandalini, kiti cha Spika kiko hot,police wamefukuzwa, wakati li-CCM lao limeshika hatamu watu hao walikuwa wamelala usingizi totolo.

Sio Kongwa tu, bali Dodoma yote inahitaji ukombozi.
 
Back
Top Bottom