Tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2017, mkwajuni sekondari
Shule ya sekondari mkwajuni, inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2017 kama ifuatavyo;
1. Kidato cha kwanza
2. Kuhamia kidato cha pili, tatu, na nne
3. Kuhamia kidato cha tano katika combination zifuatazo;
hgl, hge, hgk, egm, hkl & cbg,pcb,pcm
Mawasliano zaidi piga simu 0766721496/0744708354