Nafasi za Kozi za Muda Mfupi (Short Courses)

Nafasi za Kozi za Muda Mfupi (Short Courses)

Chuo cha Maji

Member
Joined
May 4, 2017
Posts
54
Reaction score
34
Chuo cha Maji kinatangaza nafasi za Kozi za Muda Mfupi (Short Courses) mbalimbali zinazotolewa hapa Chuoni kwa mwaka wa Masomo 2017/2018. Kila course ina gharama yake na ina muda wake wa kusoma. Tafadhali pakua document yenye Majina ya Courses, muda wa kusoma na gharama zake.

Form ya kujiunga na courses izo pia inapatikana hapa hapa. Na unaweza kuituma kwa email, au posta au kuileta Chuoni baada ya kuijaza.

Chuo kipo Ubungo Dar es Salaam, barabara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Vilevile, tunaendelea kupokea maombi ya kujiunga na masomo ngazi ya Diploma kwa mwaka wa masomo 2017/2018 hadi tarehe 01 October 2017.
 

Attachments

Diploma mwisho lini kuaply
Nina vigezo kijiunga ila sina wa kunifadhiri
 
Mbona pdf sawa zote akuna list ya izo short courses
 
Back
Top Bottom