Nafasi za kazi

Nafasi za kazi

isackkallindi

Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
25
Reaction score
21
AMD SOLUTION TANZANIA : Inapenda Kuwatanganzia Nafasi Za Kazi Kwa Sectary Sifa Za Mwombaji

==> Awe Na Uzoefu Na Kazi
==> Awe Na Cv Za Sectary
==> Ajue Kiingereza Cha Kuongea Na Kuandika
==> Asiwd Na Umuri Zaidi Ya Miaka 45
==> Awe Mtanzania

Njinsi Ya Kutuma Maombi
Maombi Yote Yatumwe Kupitia Email Yetu Info@amd.Co.Tz
Maombi Yaambatanishwe Na Cv Zako
Utajulishwa Kwa Email Yako Kwa Ajili Ya Interview
 
Kampuni yenyewe hamjui kiingereza halafu mnataka anayejua au mnataka awe na kazi nyingine ya kuwafundisha lugha?
 
Back
Top Bottom