Nafasi za kazi

Nafasi za kazi

Twande

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2009
Posts
543
Reaction score
174
Sifa: shule diploma ya fani yoyote, kazi customer care dukani, awe mtulivu, mwenye kujipenda na heshima, mwaminifu, Kama Huna diploma basi sifa hizo hapo na mwenye uelewa wa Hali ya juu utafikiliwa.
 
Pm Kama una vigezo au ndugu yako
 
Kama ipo serious ungetufafanulia itakapofanyika kazi hii
 
Ukiona haijatajwa ujue ni Dar es salaam!!! Japokuwa ni kujisahau lakini inge kuwa Iringa Mwanza Morogoro nisingesahau!! Hapa ndo tunapojikuta ukitaja Dar es salaam mahali popote asojua anajua ndo Tanzania. . . Kwikwikwii no hard feelings though. .
 
Sifa: shule diploma ya fani yoyote, kazi customer care dukani, awe mtulivu, mwenye kujipenda na heshima, mwaminifu, Kama Huna diploma basi sifa hizo hapo na mwenye uelewa wa Hali ya juu utafikiliwa.

Mimi nipo Dodoma, bado nasoma diploma ya mifugo, ila mwezi wa 6 nitakua na likizo ya miezi miwili. kazi naiweza. je nitakufaa (kwa kigezo cha muda) ? NAOMBA KAZI. 0716649482
 
Ndugu naamini kazi hii naiweza,nimemaliza kidato cha sita,baada ya kumaliza kidato cha sita nikaaminiwa kupewa kazi ya uhasibu kwenye moja ya mashirika makubwa tanzania na huu ni mwaka wangu wa 4 nafanya kazi bila shida,mwezi wa saba nitakua huru kwasababu mkataba wangu unaishia june 30.kwa kusema hayo naomba nitoe ombi la kuiomba hiyo kazi. Kwa mawasiliano 0684864360
 
Nipo dar kazi iyo naitaka sana japo nipo diploma ktk cha utumish wa umma,na nimepata kazi ya mkataba sehemu flani lkn kama maslah yatukuwa mazuri,nipotayari kuvunja mkataba,nichek 0656650636
 
Prefered gender . . Female
 
Mbona hukusema mapema? Angalia sasa nimemwachisha mwanangu chuo ili aje kufanya kazi halafu wewe unaanza kuleta ubaguzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom