Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 3,088
- 4,496
Ndiyo mkuu, waweza kusema hivyoKozi yangu haipo katika hizi ajira. Natakiwa niseme ajira zimemwagwa?
Watanzania WoteHivi wanao ajiriwaga akina nani maama mtaani bado watu wapo japo kuwa tunaonaga ajira zinatangazwa kila siku
Hapana mkuu fungua tu, ni up to dateUnakuta WhatsApp linatumwa ilo limkeka kubwaa unambiwa Ajira ukifungua unakuta kazi za mwaka juzi humo.
Ujumbe uwafikie maeditor, tunajua wanapiga AdSense na Adstera lakini muwege muna update.
Tafuta nafasi unaiyoihitaji mkuu kama ipo basi kila LA kherimadereva mbona nafasi zao hazipo??,au zimeunganishwa na hizo nyinginezo?? kama ulivyohitimisha kwenye list yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo foleni ni ndefu sana, so hata yakitoka magari kadhaa bado huwezi kuonaHivi wanao ajiriwaga akina nani maama mtaani bado watu wapo japo kuwa tunaonaga ajira zinatangazwa kila siku