AJIRAdotCOM
New Member
- Dec 23, 2018
- 2
- 2
Mkurugenzi wa kampuni ya
JN GROUP COMPANY LIMITED
anatangaza nafasi za kazi kwa nafasi zifuatazo:-
Barua pepe: ajiradotcom@gmail.com
Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu
IHUMWA
P.O.BOX 41000
Dodoma, Tanzania
Au tembelea mitandao yetu ya kijamii kwa taarifa zaidi;
Instagram: JN GROUP COMPANY LIMITED (@ajira_dot_com) • Instagram photos and videos
Facebook: https://facebook.com/ajiradotcom
Quality Products And Services Is Our Destiny
JN GROUP COMPANY LIMITED
anatangaza nafasi za kazi kwa nafasi zifuatazo:-
- Kazi za usafi maofisini
- Kazi za viwandani
- Kazi ya duka
- Kazi za kuuza na kusafirisha bidhaa za kampuni
- Kazi ya stoo na ukarani
- Secretary
- Afisa masoko
- Kazi ya uhasibu
- Awe raia wa Tanzania
- Awe na umri wa miaka 18 hadi 35
- Awe na elimu ya msingi, sekondari, vyuo vya kati au vyuo vikuu
- Kwa nafasi ya Secretary, Afisa masoko na Uhasibu mwombaji angalau awe na cheti, Diploma au degree
- Awe na afya njema, mwenye nguvu na uwezo wa kutimiza malengo yatakayowekwa kwa kila siku
- Awe mbunifu, mchangamfu, mwaminifu na anayeweza kujituma mwenyewe