Aysher25
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,763
- 3,074
Habari zenu
Natafuta wafanyakazi kwa ajili ya kufanya kazi kwenye mgahawa
#Wakike 2 elimu certificate yoyote sio lazima awe na uzoefu wa mambo ya hotel
#Wakiume 1 kwa ajili ya kumsaidia mtu anayetengeneza chips elimu yoyote
#Wakike 1 kwa ajili ya kuosha vyombo elimu kuanzia la saba
Awe muaminifu
Ajiheshimu
Awe Dar es Salaam haswa Wilaya ya Kinondoni itapeneza zaidi
Mawasiliano -0688140911 tuma message tu eleza sifa zako wapi unaishi usipige tafadhali.
Wabilah Tawfiq