Peter Ngenda
Member
- Feb 26, 2017
- 19
- 7
Native Microfinance inatafuta watu wanaofahamu vizuri kazi za solidlity group lending kufanya kazi hizo katika ofisi zetu za kanda. Wanahitajika watu wenye uzoefu huo walau miaka mitatu, elimu inayotakiwa diploma au digrii katika fani za biashara, kilimo, nk. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10 may 2017. Mwenye nia hiyo atume CV kwa email: peterbensonngenda@gmail.com.
Nina diploma ya biashara Ila sina huo uzoefu, ila mkinipa darasa kidogo Tu nipo tayari kufanya kazi popote paleKilimo wazuri hasa kwenye mikopo ya wakulima na wafugaji ukiongeza na elimu tunayotoa wanakuwa safi sana. Niwaombe kama wapo wombe watafurahia kazi.
NdiyoNina diploma ya procurement je itafaa?
Vipi wenye degree ya ualimu ?Native Microfinance inatafuta watu wanaofahamu vizuri kazi za solidlity group lending kufanya kazi hizo katika ofisi zetu za kanda. Wanahitajika watu wenye uzoefu huo walau miaka mitatu, elimu inayotakiwa diploma au digrii katika fani za biashara, kilimo, nk. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10 may 2017. Mwenye nia hiyo atume CV kwa email: peterbensonngenda@gmail.com.