Nafasi za kazi

Mara nyingi wanakuwa watu wa promotion hawa...wanazingua kwenye malipo
 
mkuu hebu pitia email yako mana tumekutumia mesegi nyingi tu...na watu wanauliza deadline lini.
 
Boss mkubwa kabisa...unayelipa wafanyakaxi 50k per day..munatuma cv hapa??? Any way...napita tu boss.
Pita tu mana jambo usilolijua siku zote ni sawa na usiku wa giza nene...ndo mana umekimbilia hapa kupayuka unafikri unamfaidisha nani, lait kama ungeliuliza kistaarabu au kuja pm ningekusaidia majibu yako, ila nakupa pole kwa kupoteza mda na kufatilia thread za mtu mmoja mmoja kujua alipost nini siku gan na alipost kuhusu nini, sasa kwasababu umekuja kishari na kinafiki nafiki basi ntakuacha tu upite kama ulivosema mana swezag ku argue na mtu asie na akili hata ya 1% ya kuuliza kistaarabu ajibiwe. Naanza kuamini utafiti wa wizara ya afya kua watz wengi ni vichaa.
 
Dah, F ya Mathe form IV imenikosesha kazi, vipi Mkuu huwezi nifikiria hapo? Advance nilifanya vizuri tu Mathematicsí ½í¸Ší ½í¸Ší ½í¸Š
 
Hahahaaaa huwiii! Kwa hiyo maneno yote hayo ndio kukaa kimya? Hahaha sawa! Lakini kuna unafiki gani hapo? Au wapi nimekosea? Au nilichoandika sicho kilichotokea?
 
Wakuu mbona mnaanza kulumbana? Haina faida yoyote bora mpotezeane tu kwa amani
 
Habari kaka nilitaka nikuulize kabla sijaaply, mimi nna bachelor ya arts with education..naweza kuapply nafas ya sales au secretary sababu naamin zote naweza kuzimudu..asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…