Nafasi za kazi zantel

Nafasi za kazi zantel

Toglaw

Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Kampuni ya simu za mkononi zantel inatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo
Eneo 《Dar es salaam
Sifa 《.Elimu kidato cha nne(iv)
.Umri miaka 18-25
.Uwe na uwezo wa kujieleza
Wajibu 《kuwafundisha wateja huduma za zantel na kusajili wateja wapya

Kwa mawasiliano piga simu namba. 0779666667 au 0776060444
 
Hizi nafasi za kazi wakati mwingine zinashangaza,unapiga simu tu zen unaramba ajira?? Du hatari sana
 
Kwa ambao mmeshapga simu tukutane jumanne ofisin kwa ajiri ya usaili. Malipo yanatokana na commission yako. Kwa maelezo zaidi piga simu hzo namba hapo juu
 
Mshahara line unazouza.over

Hahahaaaa hiyo kazi noma sana yaani kampuni itaingiza millions of money wakati wewe unapata buku??
Wafanye wenyewe bora nijiajiri kwa kilimo ntajenga heshima sana kuliko kuungua jua bila sababu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom