S sholaa Member Joined Mar 13, 2013 Posts 16 Reaction score 6 Mar 20, 2013 #1 Wadau hivi zile nafasi za kazi zilizotangazwa na Pspf mwezi uliopita haijaanza kuitwa watu kwa ajili ya ile interview yao ya kizushi?
Wadau hivi zile nafasi za kazi zilizotangazwa na Pspf mwezi uliopita haijaanza kuitwa watu kwa ajili ya ile interview yao ya kizushi?
stevoh JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 2,921 Reaction score 1,106 Mar 20, 2013 #2 sholaa said: Wadau hivi zile nafasi za kazi zilizotangazwa na Pspf mwezi uliopita haijaanza kuitwa watu kwa ajili ya ile interview yao ya kizushi? Click to expand... mmh! Nijue nisijue kwa lugha yako hii hata sikwambii ng'oo...
sholaa said: Wadau hivi zile nafasi za kazi zilizotangazwa na Pspf mwezi uliopita haijaanza kuitwa watu kwa ajili ya ile interview yao ya kizushi? Click to expand... mmh! Nijue nisijue kwa lugha yako hii hata sikwambii ng'oo...
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Mar 20, 2013 #3 sholaa said: Wadau hivi zile nafasi za kazi zilizotangazwa na Pspf mwezi uliopita haijaanza kuitwa watu kwa ajili ya ile interview yao ya kizushi? Click to expand... Sasa unataka kujua interview ya kizushi ili iweje??
sholaa said: Wadau hivi zile nafasi za kazi zilizotangazwa na Pspf mwezi uliopita haijaanza kuitwa watu kwa ajili ya ile interview yao ya kizushi? Click to expand... Sasa unataka kujua interview ya kizushi ili iweje??
S sholaa Member Joined Mar 13, 2013 Posts 16 Reaction score 6 Mar 21, 2013 Thread starter #4 we stevoh hukulazimishwa kujibu kama unaona haina maana kwako changia mada zingine zipo nyingi tu humu JF
we stevoh hukulazimishwa kujibu kama unaona haina maana kwako changia mada zingine zipo nyingi tu humu JF
S sholaa Member Joined Mar 13, 2013 Posts 16 Reaction score 6 Mar 21, 2013 Thread starter #5 Dena nlitaka nijue usiwe kimbelembele kujibu kama mdomo wako hauna break