Habari zenu wadau! nawaombeni kwa mtu yeyote anaefahamu sehemu zenye nafasi za kazi za Migodini naombeni mnijuze manake nisha-fight lakini hali bado ni tete! nina DIPLOMA IN MINING ENGINEERING!! naweza chapa kazi for all SURFACE and UNDERGROUND Mines!! Natanguliza shukrani!!