Nafasi za kazi za kufundisha chuo

Nafasi za kazi za kufundisha chuo

Pawaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
1,349
Reaction score
1,011
Habari wakuu humu ndani?
Kuna nafasi mbili kwa ajili ya walim wa kufundisha Chuo (tutor) mbeya mjini. Ni Mbeya-Uyole na wanahitajika walim wa Tourism and Hotel management nafasi moja na Secretarial nafasi moja.
Nafasi ni za part time tu na anahitajika MTU ambae ana diploma na kuendelea kwa kozi tajwa hapo juu na vizur kama akiwa anaishi mbeya
Tuwasiliane kupitia
pawaga07@yahoo.com
 
Habari wakuu humu ndani?
Kuna nafasi mbili kwa ajili ya walim wa kufundisha Chuo (tutor) mbeya mjini. Ni Mbeya Training College kilichopo Uyole na wanahitajika walim wa Tourism and Hotel management nafasi moja na Secretarial nafasi moja.
Nafasi ni za part time tu na anahitajika MTU ambae ana diploma na kuendelea kwa kozi tajwa hapo juu na vizur kama akiwa anaishi mbeya
Tuwasiliane kupitia
pawaga07@yahoo.com au 0682102997

mkuu mbona hupatkan
 
Tutor ana diploma? Au wanataka Mwl wa tuisheni??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom