Ila mie huwa najiuliza vigezo vya anayewetakiwa vinawekwa hadharani Ila vya mwajiri kuwa atatoa Nini in return ama katika iyo transaction inabakia Siri,why iwe Siri, what's so special kuficha,Mana uwezo wa mwajiri ukionekana Ina Mana wanaomba ambao wanawezana na mwajiri,Kama vigezo vya tangazo la anayehitajiwa.
Samahani sio kuwa Ni wewe mtoa tangazo Ila Niko in general ,Ila kazi mfano za wazungu wanaweka kila watu wazi ama sie weusi Basi kila kitu kinakuwa cheusi kinafichwa