duh,ndg inaonesha elements za 'uvivu'.at least ungeweka tarehe ya mwisho wa kutuma maombi,qualifications wanazohitaji katika hizo posts na details nyingine muhimu.kwani si wote wenye access ya hilo gazeti la nipashe.so please,kama unataka kufanya kitu(in this case kuhabarisha) basi ukifanye kwa umakini na ukamilifu.ni hayo tu,otherwise 10x for the alert.