Nafasi za kazi : Walimu

Sphory

Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
34
Reaction score
7
KAc secondary school iliopo Arusha inatangaza nafasi za Walimu katika Michepuo ya Sayansi,Arts na BiasharaSifa za mwombaji Asiwe form six leaver. Maombi yatumwe kwa kutumia E-mail ya shule kac@kisongocollege.com Au sanduku la posta P.O.Box 16181 Arusha-Tanzania
, kwa Maelezo zaidi nicheck kwa namba 0764070703
 
Hii nayo kali. Wawezaje kuwaita form six leaver waalim wakati hawajasomea taaluma ya ualimu? Na kwann hamtaki kuajili profession teachers? Jipangeni upya.
 
Siku hizi huoni au? Soma vizur nyambaf! Jamaa kasema hataki form six leaver!
Hii nayo kali. Wawezaje kuwaita form six leaver waalim wakati hawajasomea taaluma ya ualimu? Na kwann hamtaki kuajili profession teachers? Jipangeni upya.
 
Vihiyo wamekutana hakuna kinachoharibika!! Anaambiwa nyambaf! Anacheka tehe tehe tehe!!
 
Jamani hii Shule si iko Kisongo wadau? Nilifanya kazi mwaka juzi hapo, longolongo nylngi especially kwenye mshahara , naskia uongozi umetimua walimu wote baada ya Kudai mshahara ? W adau tupeni updates ni kweli?hahaha nimefurahi kukuta post Yao Huku . Jahazi linazama sasa.
 

Kumbe ndio hivyo...nilitaka kumuunganisha my wife....kwa hoja hii sina la kusema mkuu....
 
Kumbe ndio hivyo...nilitaka kumuunganisha my wife....kwa hoja hii sina la kusema mkuu....

Ni mfupa uliomshinda Fisi mdau, hatoweza na atakulaumu Maisha yake yote.mazingira ni magumu na unyanyasaji wa walimu ndo mahala pake.
 

Remuneration vp?
 
Ni mfupa uliomshinda Fisi mdau, hatoweza na atakulaumu Maisha yake yote.mazingira ni magumu na unyanyasaji wa walimu ndo mahala pake.

nami nilitaka kutupa nanga lakini kwa maelezo hayo nimechoka, wacha ninyuti kwanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…