Nafasi za kazi (urgent)

kasi

Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
26
Reaction score
5
kwa wale wahitimu wa degree/advanced diploma Records Management,tuma resume kwenye e-mail kkasi2014@gmail.com,wahi nafasi ni chache.Ni nafasi ya kufundisha(MWALIMU),tafadhali tuma kama umemaliza kozi hiyo kwani anahitajika aliyemaliza hiyo kozi.Chuo ni Msoma utalii college Iringa branch.
 
hizo fikira zako,watakaopata watakushuhudia hapahapa,usione ukadhani.Si kila mtu yupo kwa love
 
Musoma utalii wana blogs yao so jipange upya

Just for love
 
kwataharifa wenzio wameomba tayari,na wanaendelea,we ndelea na ugegedu uone kama kazi itakukuta nyumbani.nashauri usiombe,ila waliomaliza hiyo kozi husika ombeni mje mshuhudie hapahapa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…