Nafasi za kazi Ubungo na Kigamboni

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,099
8,727
KWAKO, MAKONDA HIZI KAZI ZINATOKA LINI WATU TUMEZISUBIR NAOMBA JIBU NAJUA UMO HUMU SIKU NYINGI STAKI NIKUTAJE UNATUMIA ID GANI WE NJIBU TU?
 
NIMTAJE N
ungemtaja tu mkuu, inaweza ikasaidia
NI mtaje nani? hii thred kama haikuusu husijibu, inamuhusu makonda anjua yupo umu aseme lini ajira zinatoka tunajua kira wilaya inakauga na watu gani? tunasubiri nafsi hizo
 
Hakuna ajira mpya hapo.! Halmashauri mpya zinapoanzishwa watumishi hugawanywa kutoka halmashauri mama. In case of Kigamboni watumishi watagawanywa kutoka Temeke na in case of Ubungo watumishi watagawanywa kutoka Kinondoni. Hapo Atakayeteuliwa ni Mkurugenzi tu na Wakuu wa Idara basi.
 
Halafu navojua mimi ajira za halmashauri ni tamisemi wizarani through commission ya ajira kama sikosei huyu makonda ni mkuu wa mkoa tu!
 
ina maana kwamba kuna watu walikuwa kakatika idara mama walikuwa hawana kazi? sasa zimekuja mpya inabdi watawanywe wao? kama walikuwa na kazi nafasi zao zitazibwa na nani?
 
Halafu navojua mimi ajira za halmashauri ni tamisemi wizarani through commission ya ajira kama sikosei huyu makonda ni mkuu wa mkoa tu!
commision imeoza ile bora waweke chini ya makonda ataajiri watu bila iyana.
 
ina maana kwamba kuna watu walikuwa kakatika idara mama walikuwa hawana kazi? sasa zimekuja mpya inabdi watawanywe wao? kama walikuwa na kazi nafasi zao zitazibwa na nani?
Halmashauri inapogawanywa hata ukubwa wa eneo unapungua., ukubwa wa eneo ukipungua automatically hata kazi nazo zinapungua. For example, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Temeke hatokuwa tena na kazi ya kutembelea na kufuatilia maendeleo ya shule za msingi za maeneo ya Kigamboni, kongowe n.k (kutokana na mpaka wa wilaya hizi mpya) litakuwa ni jukumu la Afisa Elimu Msingi wa Wilaya ya Kigamboni. Vivyo hivyo kwa Idara nyingine zote
 
Pia unachotakiwa kujua Mkuu wa mkoa hana kibali cha kuajiri. Kwenye mkoa mwenye kibali cha kuajiri ni Regional Administrative Secretary au kwenye mikoa ambayo ni majiji ni Mkurugenzi wa Jiji. By the way siku hizi ajira nyingi za LGA'S na MDA'S ni through Public Service Recruitment Secretariat
 
Back
Top Bottom