Nafasi za kazi tra.

[QUOTE=Kwann unachagua TRA na sio wizara ya Kilimo?!! ipende nchi yako sio ujijali wew tu..kuwa mzalendo



aaah acheni hizo kila mtu anahaki yakufanya kazi kutokana nauwezo wake na mapendeleo ndomaana hata kwenye kusoma kuna kuchagua course sasa yeye kasomea biashara na mambo ya economics ukampe ukulima na maendeleo sijui hiyo ni akili au matope halafu wewe ndo unae haribu mpangilio mzima sasa walio somea agricultural waendekufanya kazi wapi na econimist wameshachgukua nafasi zao come on use ur commosense
 
usiwe mwepesi wa kukejeli , kama hauna msaada kwa mtoa mada ni busara ukikaa kimya//kama mtoa mada kasomea tax assesment in marine shipments au kasoma import and export bado unataka akaombe wizara ya kilimo??? je kwani tra hawakunyi kodi wizara ya kilimo, si akiwa tra ataisaidia pia wizara ya kilimo??acha kuwakejeli vijana .....

Wizara ya kilimo ni kejeli?.Unatisha sana

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom