Nafasi za kazi TRA

Ebana nimetupia CV , hapo makao makuu! Ngoja 2subiri miujiza kama hata kwenye interview tutaitwa.
 
kachero wanhu ndani ya TRA ameniambia nisiwe na wasi japo nina gentlemen pass ya 2009

kaniambia tupia CV ka mkuu apo juu, alafu nitapewa namba.... nimpe hyo namba afanye ukachero

nimeenda kutupia cv...mama anuliza 'umeapply nini?' customs officer 'tupia box hili' mama anajibu

alafu?

sepa tu kaka

he...namba vipi? nasikia inabidi nipewe namba.... 'hmana namba'

da...kachero wangu inakuaje...nimetupia kenye box... namba hamna... ukachero bado unawezekana?
 
teh teh teh
 
hahahahahahahaha hahahahaha hahahahah 😛hoto:sipati picha
 
hapo kama kawaida fest one watoto wa wanene hapedwe mtu hapo kama unataka kazi nyosha nkono manafesi yapo ya kazi rakini utajaza mwenyewe chadema hooooyeeee hamia chadema:shock:
 
Hivi kwa mfano ukiwa na referee ndo inakuaje? Anampigia simu mkuu wa kitengo alafu hamna haja ya interview au?

Alafu mishahara TRA ikoje? Au ukipata ndo unakula rushwa tu?


Mishahara yao ni ya kawaida tu. Tatizo wengi wanapakimbilia kwa lengo la kula rushwa tu lakini wasisahau kuna kwenda motoni maana Mungu hapendi rushwa.
 
Mishahara yao ni ya kawaida tu. Tatizo wengi wanapakimbilia kwa lengo la kula rushwa tu lakini wasisahau kuna kwenda motoni maana Mungu hapendi rushwa.

hehe, motoni baadae.....maisha hapa hapa
 
jamani sio uongo kama haumjui m2 hupati kazi huko otherwise mungu amnyanyue m2 atakae kutetea jina lako ,mm ninamfano wa wasichana wa wili mapacha walifanya interview ya tax officer juzi na kabla ya kuingia walikuwa wanajua maswali ila mmoja akaitwa interview ya pili mwingine hajaitwa ila chakushangaza wameitwa wote kazini ,jamani embu nisaidieni 2 coz kunawa2 wamejibu vizuri oral na hawaitwa
 
plse forwaed my attachments.
thanks.

dear janeth... nime peleka form zako TRA and wamefurahi sana kukupata. japo una GPA ya 2.4 wamesema kazi utapata.

ila umesahau kuweka picha yako (full body) passpor6 size na urefu wako. please post those
 

kaka thanx kwa taarifa,naomba utupatie hiyo address yao tutest zali.
 

Thank you kwa update.maana tulijua washaajiri tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…