Asante sana but naheshimu sana ghalama ya photocopy kwa hiyo sitajaribu maana kule bwana hapana kama wewe sio jina kubwa kwenye mtaa
siwezi kuharibu pesa yangu kutoa kopi
Nimeshindwa kufungua natumia cmu,msaad plse
et valid driving licence,mnaboa sana.
Huu sasa ujinga, acheni kudeka. Kama huna sifa acha wenye nazo waombe subiri kazi ambazo una qualifyet valid driving licence,mnaboa sana.
lol, nacheka utadhani mazuri.next tym utatakiwa kuwa na mapacha ndo upate kaz. wenye sifa kazi kwenu. . .