Nafasi za kazi Shirika la Viwango

Nafasi za kazi Shirika la Viwango

nasi

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
47
Reaction score
20
Tanzania Bureau of Standards (TBS) is Tanzania's sole standards body, formerly established by the Standards Act No. 3 of 1975, which was repealed and replaced by the Standards Act No. 2 of 2009. It is a Parastatal Organization under the Ministry of Industry and Trade. The Bureau is looking for suitably, qualified, competent and committed Tanzanians to fill the following vacancies:

Zaidi: View attachment JOB_ADVERTISEMENT_25TH_MAY_2015.pdf
 
Hizi nafasi zilitangazwa mda tu mm nliomba PROCUREMENT OFFICER na deadline ilishapita bado kuita interview tu. angalia vizuri tarehe ya hilo tangazo
 
Mkuu hapo unakataa nini ulichowekewa kiangalie kwanza then bisha hivyo uta discourage watu wasifuatilie, haya fuatilia wewe basi hizo nafasi za leo
 
nafasi zimetangazwa leo wewe uliomba lini,kama uliomba muda leo wametangaza tena nenda kwenye website yao sio unabisha bila evidence
 
Sina nia ya kudiscourage watu ila nafasi zilizowekwa leo sio ulizoziweka hapo juu nimefungua hiyo link uliyotuwekea ya tbs zimetangazwa tofauti na ulizoweka angalia vizuri utaona kunatofauti kubwa sana Tuache kupanic tunapokosolewa
 
nafasi zilizotangazwa leo ni: standard officer 11 (24 post), metrologist 11(15 post),labalatory Technician 11 (20 post), chief procurement officer (1 post), legal officer 11(2 post) procurement officer 11 post(2 post),Human resource officer 11(1 post), Marketing officer 11 (2 post),systems administrator 11 (1 post),planning officer11(2post), Accountants Technician 11(5 post),quality Assuarance officer 11(71 post),inspector11(20 post),inspection technician 11 (30 post)
 
Zipo mpya ktk gazeti la the Guardian la leo na website yao Tbc.go.tz
 
nafasi zilizotangazwa leo ni: standard officer 11 (24 post), metrologist 11(15 post),labalatory Technician 11 (20 post), chief procurement officer (1 post), legal officer 11(2 post) procurement officer 11 post(2 post),Human resource officer 11(1 post), Marketing officer 11 (2 post),systems administrator 11 (1 post),planning officer11(2post), Accountants Technician 11(5 post),quality Assuarance officer 11(71 post),inspector11(20 post),inspection technician 11 (30 post)

mbona zinazidi nafasi 30?,,,
 
TBS wametangaza kazi mpya zaidi ya 200 (mia mbili)

Unawezakuzipata kupitia mtandao wao

AU

Kupitia Grab! Job App (Maelezo zaidi soma HAPA)

Pamoja
 
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES (about 200 posts)

Tanzania Bureau of Standards (TBS) is Tanzania’s sole standards body, formerly established by the Standards Act No. 3 of 1975, which was repealed and replaced by the Standards Act No. 2 of 2009. It is a Parastatal Organization under the Ministry of Industry and Trade. The Bureau is looking for suitably, qualified, competent and committed Tanzanians to fill the following vacancies, please visit the link below

http://www.tbs.go.tz/images/uploads/JOB_ADVERTISEMENT_25TH_MAY_2015.pdf
 
Mkuu Safari Fungo....Mkemia mkuu...Upo??
 
Wabongo kwa ubishi hatujambo kwa kweli.
Mimi tangazo nimeliona sasa hivi, limetolewa jana!
Wenye vigezo, apply kazi hizoooo....
 
Kama hizi nafasi ni latest mtuwekee tarehe ya deadline
 
tbs_logo.gif

[h=2]EMPLOYMENT OPPORTUNITIES TBS[/h]
 
Hizi nafasi zilitangazwa mda tu mm nliomba PROCUREMENT OFFICER na deadline ilishapita bado kuita interview tu. angalia vizuri tarehe ya hilo tangazo

Mkuu Mundu FYI The applications should reach the address on or before 08.06.2015
 
naona bado hamjanielewa nafasi zilizowekwa hapo na mdau zipo 30 na zilishatangazwa kitambo sana. nafasi mpya zilizotangazwa zipo 200 ambazo deadline ndo hiyo uliyoionyesha hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom