Nafasi za kazi S&E Health Solutions

Magnificient

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
1,162
705
S&E HEALTH SOLUTIONS ni project inayojishughulisha na utoaji wa elimu na ushauri wa Afya, Urembo Na Vipodozi kwa jamii zote za Tanzania .

Kwa sasa inahitaji wasichana watatu (3) kwa ajili ya kusaidia kusambaza matangazo, kuelimisha jamii, kuendesha shughuli za mradi na kufikia wateja wengi zaidi katika mkoa wa Dar es Salaam.

SIFA
- Umri wa miaka 18 - 25
- Elimu ya kidato cha nne
- Kuweza kuongea na kuandika vizuri
- Mchangamfu na mchapakazi

Malipo ni mazuri na ya kuridhisha.

Maombi ya kazi yawasilishwe siku ya Jumamosi ya tarehe 25/06/2016 Ilala Bungoni, Dar es Salaam.
#Barua ya kuomba kazi inayoonesha sifa za muombaji kufaa kwa kazi hizi
#CV
#Nakala za vyeti vya kidato cha nne

S&E HEALTH SOLUTIONS
ILALA BUNGONI, DAR ES SALAAM
0 659 528 724 , 0 784 082 847

Karibuni Sana.......
 
Ahsante, wengi watajitokeza, tena uzuri ni kwamba hakuna haja ya wadhamini wala refariii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom