Nafasi za Kazi National Health Insurance Fund (N.H.I.F)

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,237
Vijana ambao mliomba kazi zile zilizotangazwa mwezi wa 10 na Mkafanya Interview mkiwa wengi Pale Dar es Salaam University College of Education (DUCE) Mkiwa wengi sana.

Habari za ndani zinasema mchakato huo haukua wa Kiushindani na Ulifanyika kindugu na Kuamuliwa kurudiwa Upya trick walioitumia ni ile ile ya Uhamiaji ya Kuita watu wengi na Kuwachagua watu wanaowataka.
 
mleta mada nimekuelewa ila hapo kwenye mchakato kurudiwa bado nashindwa kuelewa yaani utaanzia mwanzo kuapply tena au wataanzia kwa waliokwisha apply then watashort list kwa ajili ya written interview au wataita wote tena walioitwa kwenye interview mpya? vipi gharama na usumbufu duh hii ndio tanzania
 
kunahitajika baraka za Mungu kwa ambao hatuna network wala ndugu wasomi...Ee baba Mungu saidia...
Unashindwa vita hata kabla mapambano hayajaanza!Hapo ni pagumu na kama sio undugu kuna rushwa fitna,hila,mizengwe daaah!Kaazi kwelikweli!
 
Unashindwa vita hata kabla mapambano hayajaanza!Hapo ni pagumu na kama sio undugu kuna rushwa fitna,hila,mizengwe daaah!Kaazi kwelikweli!

basi wasingekuwa wanatangaza watu tujue moja, inaumiza sana kuona unacompete kwenye hamna, simanzi sana..
 
MToa maada hujeilewi naomba usipotoshe watu majibu kukaa mda mrefu sii hoja lamsingi hoja unayowakilisha kwenye umma ina ukweli wowote toa source of information nadhani bado wako kimya so subirin muwe na subira wataitwa nami nilifanya lakini nasubiria majibu
 
itakuwa kweli
 
Back
Top Bottom