Nafasi za kazi mpya

Nafasi za kazi mpya

madata84

Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
49
Reaction score
2
Habari wana jamii wenzangu naombeni msaada wenu kwa yeyote anayeweza kunisaidia kazi au kunipa connection ya kazi niko Moshi nimesoma Diploma ya social studies. Asanteni.
 
moshi sehemu gani
 
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote naomba mjitokeze jamani kunisaidia
 
Habari wana jamii wenzangu naombeni msaada wenu kwa yeyote anayeweza kunisaidia kazi au kunipa connection ya kazi niko Moshi nimesoma Diploma ya social studies. Asanteni.
kaongeze elimu kwanza halafu urudi siku hizi degree ndio form four wewe unakuja hapa na kadiploma halafu kasosho stadi cjui
 
hiyo heading yako unamaanisha nini,au ili watu waje mbio
 
Hahahahahahahha kwakuwa huna kazi usimmalizie mwenzio hasiraaa
nina masters ya architecture niko mtaani ye anakuja kutusumbua na diploma ya social studies.mi nitamsaidia jembe arudi kijijini akalime
 
kaongeze elimu kwanza halafu urudi siku hizi degree ndio form four wewe unakuja hapa na kadiploma halafu kasosho stadi cjui
Nashukuru ndugu na hongera kwa kuwa na masters. ila masters isikufanye udharau elimu ya wengine kila mtu na alivyojaliwa.
 
nimemshauri bila kupepesa sijadharau,halafu hapo hakuna kujaaliwa ni jitihada tu kila mtu alishajaaliwa tangu yuko tumboni,tusichanganye uvivu na kujaliwa Mungu hana upendeleo
 
Ni kweli MUNGU hana upendeleo na humpa kila mtu kwa nafasi yake na kwa wakati wake. Sio mvivu na sijachoka kutafuta. Nashukuru kwa mchango na ushauri wako tuombeane kheri ndugu.
 
Back
Top Bottom