Nafasi za Kazi mbalimbali kutoka UNDP

dumejm

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,164
2,000
Mbona wengine tukieweka linki tunskula banning za mwaka mzima sielewi utaratibu hapa
 
Lyamber

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
10,301
2,000
Hakuna jamaa wanaopenda experience kama UNDP Tanzania...hata ILO,UNHCR wenyewe wanawekaga experience ya kawaida tu lakini jamaa hawa ni too much
 
kalagabaho

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,360
2,000
WENYE EXPERIENCE CHANGAMKIENI FURSA MKALE PESA.

Kula pesa tena? Sio kwenda kupiga kazi? Ndio maana hizi kazi za international organizations wabongo zinatushinda!!..ukiangalia hizo responsibilities za hizo posts utaona kabisa hizo sio post tu za kwenda kuchukua pesa na kurudi kulala!! Hakuna sanaa huko watu wanataka kazi zao zifanyike..wakenya wanachukua sana hizi kazi sababu hawana upuuzi kama wetu
 
likandambwasada

JF-Expert Member
May 27, 2015
5,414
2,000
kalagabaho LABDA UMETAFSIRI VIBAYA NENO 'KULA PESA', SIJAMAANISHA KUIBA PESA MKUU, NAMAANISHA MASLAHI MAZURI KULINGANA NA KAZI HUSIKA.

KUNA TAASIS MAJUKUMU MAZITO ILA MASLAHI DUNI

UNDP KAZI NYINGI ILA MASLAHI YAPO.

MWAJIRI ANATAKA KAZI IFANYIKE VZURI AMBAPO MWAJIRIWA NAYE ANATEGEMEA AFANYE KAZI NA ALIPWE VZURI.
 
ruralofficer

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
2,071
2,000
Kula pesa tena? Sio kwenda kupiga kazi? Ndio maana hizi kazi za international organizations wabongo zinatushinda!!..ukiangalia hizo responsibilities za hizo posts utaona kabisa hizo sio post tu za kwenda kuchukua pesa na kurudi kulala!! Hakuna sanaa huko watu wanataka kazi zao zifanyike..wakenya wanachukua sana hizi kazi sababu hawana upuuzi kama wetu
Wakenya hawapo technical kama unavyodhani zaidi ya kuzungumzazungumza tu
 
kalagabaho

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,360
2,000
kalagabaho LABDA UMETAFSIRI VIBAYA NENO 'KULA PESA', SIJAMAANISHA KUIBA PESA MKUU, NAMAANISHA MASLAHI MAZURI KULINGANA NA KAZI HUSIKA.

KUNA TAASIS MAJUKUMU MAZITO ILA MASLAHI DUNI

UNDP KAZI NYINGI ILA MASLAHI YAPO.

MWAJIRI ANATAKA KAZI IFANYIKE VZURI AMBAPO MWAJIRIWA NAYE ANATEGEMEA AFANYE KAZI NA ALIPWE VZURI.

Sawa mkuu nimekupata
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom