NAFASI ZA KAZI MARRIOTT HOTELS...is it a scam?

Status
Not open for further replies.

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,702
Nimepokea mail ya kwanza tar 29/03 ikisema nitume CV yangu kwenda kwenye email address hotelmarriott.hrdept@mit.tc huku ikiambatanishwa na attachement yenye nafasi za kazi kwenye hii hotel ya MARRIOTT.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------

  • 1 Attachment
  • 597.2KB
  • Save to Computer

  • ‎.DOC
    ‎MARRIOT HOTELS.docx

SEND YOUR CV TO ( hotelmarriott.hrdept@mit.tc )

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Nikatuma CV yangu na tar 01/04 ambayo ni leo nikapokea ujumbe mwingine kwamba wamepata CV yangu na wamenitumia APPLICATION FORM nijaze na niwatumie bila kutuma hela yoyote.Naombeni msaada wenu,is this thing for real? Sijawahi kuiskia hii hotel(nimeiona google kwamba inaexist) wala sijawahi kuapply huko but nimekuwa nikituma mails na kuongea na watu mbalimbali kuhusu suala la kazi,internships na masters.Je ni mtu amenifanyia mpango bila kunitaarifu? Naombeni pia mnisaidie kama hizi msg ni kutoka kwenye hii hotel na wanahitaji watu.
Pia nimeona nishirikiane na wote wanaotafuta kazi kwani inaweza kuwa pia ni nafasi nzuri kwa baadhi ya watu.
nimeattach tangazo lao walilonitumia kwenye email ya kwanza.
------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

[h=3]FILL AND RETURN YOUR APPLICATION FORM( [email]hotelmarriott.hrdept@mit.tc[/email] )[/h]Hide Details

From

  • 1 Attachment
  • 1.2MB
  • Save to Computer

  • ‎.PDF
    ‎Application Form.pdf

Dear Applicant

This is to acknowledge the receipt of your resume and we think we would be needing your services in our organization.

We do advice you to fill the attached form and send back to the management as soon as possible for official use and we would be getting back to you as soon as possible.

N.B; YOUR PASSPORT PHOTOGRAPH IS REQUIRED FOR PROPER VERIFICATION. Thanks

The Management,
Mr,Bill Marriott.
Grosvenor House,A JW Marriott Hotel Park Lane,
London,United Kingdom W1K7TN
PHONE: +447010089497

------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
 
Attachments

Nenda nao taratibu sana kama hata kwenye mtandao hakuna ujue hao wa nigeria au senegal wanataka kukuinhiza chaka...wakisema tuma 100$ as proccesing fee kwa western union ujue hapo hapo....stuka na katiza mawasiliano!
 
mkuu acha kabisa, hao watu ni wanigeria. wao wanachotafuta ni hela. wanakuambia watakusaidia kila kitu mwisho wa siku wanakuambi utume hela. ukitaka uamini, fanya unacho fanya lakini hakikisha hutoi hela mfukoni kwa kazi yoyote inayo wahusu. hao ndo maprofesa wa wizi wa kwenye mitandao hadi mabank. mia
 
Hata kama ni $5, take care don't offer money for job. Wakipata credit card namba zako, umekwisha!
 
Nenda nao taratibu sana kama hata kwenye mtandao hakuna ujue hao wa nigeria au senegal wanataka kukuinhiza chaka...wakisema tuma 100$ as proccesing fee kwa western union ujue hapo hapo....stuka na katiza mawasiliano!

yeah! huwa wanataka kiasi kidogo sana ili usistuke, kuanzia $100 hadi $300. mia
 
thanx guys,nimewapata sana.Hofu yangu pia ni kwenye kutuma hii fomu pamoja na copy ya passport,haina tatizo?
 
jaribu kugoogle hiyo namba uone hizo code namba ni ya nchi gan kwani sometime wanaweza kukutumia jina ukaona ni uk kumbe namba za cm ni za naijeria o senego.
 
Wanaotafuta kazi ni wengi, kwa nini wewe tena bila kuomba. Kama walivyosema wengine, wanakuandaa utoe hela kidogo. Nahisi hata ukihacha kuwasiliana nao watakukumbusha tu. Hivyo huna haja ya kutuma hivyo viambatanisho. Wapotezee tu!
 
Marriot Hotel ni Chain Hotel ambayo ina matawi sehemu kubwa ya Dunia kama Serena,Protea,Hilton,Holiday Inn na nyinginezo...
Kwa Tanzania wapo Ubungo External upande uliotazamana na Benjamini Mkapa Exporting zone (EPZA)
Unaweza kwenda kucheka nao!
 
Uliomba hiyo kazi? Kama hukuomba kaa mguu sawa utaibiwa hapo!
 
Nimepokea mail ya kwanza tar 29/03 ikisema nitume CV yangu kwenda kwenye email address hotelmarriott.hrdept@mit.tc huku ikiambatanishwa na attachement yenye nafasi za kazi kwenye hii hotel ya MARRIOTT.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------

  • 1 Attachment
  • 597.2KB
  • Save to Computer

  • ‎.DOC
    ‎MARRIOT HOTELS.docx

SEND YOUR CV TO ( hotelmarriott.hrdept@mit.tc )

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Nikatuma CV yangu na tar 01/04 ambayo ni leo nikapokea ujumbe mwingine kwamba wamepata CV yangu na wamenitumia APPLICATION FORM nijaze na niwatumie bila kutuma hela yoyote.Naombeni msaada wenu,is this thing for real? Sijawahi kuiskia hii hotel(nimeiona google kwamba inaexist) wala sijawahi kuapply huko but nimekuwa nikituma mails na kuongea na watu mbalimbali kuhusu suala la kazi,internships na masters.Je ni mtu amenifanyia mpango bila kunitaarifu? Naombeni pia mnisaidie kama hizi msg ni kutoka kwenye hii hotel na wanahitaji watu.
Pia nimeona nishirikiane na wote wanaotafuta kazi kwani inaweza kuwa pia ni nafasi nzuri kwa baadhi ya watu.
nimeattach tangazo lao walilonitumia kwenye email ya kwanza.
------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

FILL AND RETURN YOUR APPLICATION FORM( hotelmarriott.hrdept@mit.tc )

Hide Details

From

  • 1 Attachment
  • 1.2MB
  • Save to Computer

  • ‎.PDF
    ‎Application Form.pdf

Dear Applicant

This is to acknowledge the receipt of your resume and we think we would be needing your services in our organization.

We do advice you to fill the attached form and send back to the management as soon as possible for official use and we would be getting back to you as soon as possible.

N.B; YOUR PASSPORT PHOTOGRAPH IS REQUIRED FOR PROPER VERIFICATION. Thanks

The Management,
Mr,Bill Marriott.
Grosvenor House,A JW Marriott Hotel Park Lane,
London,United Kingdom W1K7TN
PHONE: +447010089497

------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kwenda zako huko, nia yako ya kutaka kuona wenzako tuna andikaje Cv tumeishtukia, hatutumi ng'o, chukua ndugu zako
 
Marriot Hotel ni Chain Hotel ambayo ina matawi sehemu kubwa ya Dunia kama Serena,Protea,Hilton,Holiday Inn na nyinginezo...
Kwa Tanzania wapo Ubungo External upande uliotazamana na Benjamini Mkapa Exporting zone (EPZA)
Unaweza kwenda kucheka nao!

Marriott Ubungo External! Ha! Ha! Ha! Ya External inaitwa MARRIOTTI, nadhani wameibia tu jina.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom