Nafasi za kazi IT

abou

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
372
390
Habari wakuu.

Kampuni ya Alvial inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wa kitanzania wenye ujuzi katika:

1. Graphic design
2. Application developing
3. Computer systems

Umri ni kuanzia miaka 18 mpaka 25. Kwa anayetoka nje ya Dar es salam atapatiwa makazi buree.
 
upyuuuzu kabisa yaani kwa umri wa wanafunzi wa TANZANIA kumaliza chuo ni kuanzia 25 27 28
 
Habari wakuu.

Kampuni ya Alvial inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wa kitanzania wenye ujuzi katika:

1. Graphic design
2. Application developing
3. Computer systems

Umri ni kuanzia miaka 18 mpaka 25. Kwa anayetoka nje ya Dar es salam atapatiwa makazi buree.

Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa namba 0714 51 44 60 & 0688 688 860
Ujuzi wa computer sysytem una maanisha kitu gani?
 
Habari wakuu.

Kampuni ya Alvial inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wa kitanzania wenye ujuzi katika:

1. Graphic design
2. Application developing
3. Computer systems

Umri ni kuanzia miaka 18 mpaka 25. Kwa anayetoka nje ya Dar es salam atapatiwa makazi buree.

Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa namba 0714 51 44 60 & 0688 688 860
MIMI UZULI NI PROFFESIONAL IT NIMEFANYA KAZI KWENYE ORGANIZATION TOFAUTI TOFAUTI NA PIA NIMESHAWAHI KUWA IT LECTURE UDSM NA CONSULTANT KATIKA MASWALA YA IT JOBS NA KUWA INTERVIEW
IT PROFFESSIONAL.

KWA KIFUPI BAADA KUONA HILI TANGAZO NIMEGUNDUA LIMEJAA UPOTOSHAJI KATIKA UTANGAZAJI WA KAZI ZA IT.

KATIKA SYSTEM ZA IT HAPA TANZANIA HAKUNA POSITION KAMA APPLICATION PROGRAM WALA COMPUTER SYSTEMS KATIKA POSITION OF WORKING

ILA KATIKA SYSTEM ZA AJIRA IT TANZANIA POSITION POST OF THE JOBS HUWA TUNA.

1.IT SUPPORT

2.SYSTEM ADMINISTRATOR

3.NETWORK TECHNICIAN

4.WEB DESIGN AND ADMNISTRATION.

5.INFORMATION SECURITY OFFICER AU ADMNISTRATOR

6.UKIENDA UPANDE WA GRAPHICS DESIGNER KATIKA UTANGAZAJI WA KAZI HUWA TUNA VITU VINGI TUNANGALIA LAKINI KITU CHA MSINGI NI PORTFOLIO .

UKIENDA KWENYE AGE LIMIT ALWAYS KATIKA IT HUWA HAKUNAGA KITU KAMA HIKO ILA TUNACHOANGALIA MUHIMU NI

EXPERIENCE YAKO KATIKA KAZI NA HILI HUFANYIKA ILI KUAVOID VITU KAMA KUHARIBU KAZI ZA WATU HAPO .
 
Mkuu na wewe hebu edit hii kitu yako, unasema ushawahi kuwa nani pale UDSM? fanya haraka mkuu kama kweli ushawahi kuwa IT LECTURE (IT LECTURER) Na vipi ukawa PROFFESIONAL IT?
 
NILIVYOZUNGUMZA IT LECTURE NINA MAANA KUNA SOMO LA IT NILIKUWA NIKIFUNDISHA NA SOMO LENYEWE LILIKUWA WEB DESIGN AND DEVELOPMENT KAMA SHORT COURSE IDARA YA CVL centre for virtual learning I hope umenielewa
 
Back
Top Bottom