Nafasi za kazi Haraka (Sales & Marketing)

KingRay

JF-Expert Member
May 5, 2013
516
291
Kampuni ya AQUA COOL LTD - DSM Tunahitaji watu wa sales & marketing wenye sifa zifuatavyo kwa ufupi....

1. Awe na Elimu kiwango cha chini japo Diploma na kuendelea
2 Awe na Uzoefu wa mauzo bidhaa za vinywaji si chini ya miaka 2
3. Awe anajue kutumia mashine (EFD)
4. Na sifa nyinginezo za kufanana na hizo kama faida kwake...

Tuma CV tuu ....email address

hr@kisimawater.com

KARIBUNI SANA
 
sasa hyo experience c inabana jaman...mm naomba nafac yoyote ndgu nmehtimu kidato cha sita mwaka jana nahtaj kaz ndgu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom