Nafasi za kazi, Drivers (2 Post) na Sales Executive (2 Post)

Nafasi za kazi, Drivers (2 Post) na Sales Executive (2 Post)

BizMogul

Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
42
Reaction score
11
  • awe tayari Kusafiri mikoani
  • kazi ni ya miezi mitatu mitatu (renewable)
  • Kwa udereva awe na uzoefu wa Miaka 10,kufahamu mikoa mbali mbali Tanzania ni added Advantage
  • Awe na high skills of comunication...and sales skills

Tuma maombi yako kabla ya Tarehe 30th June kwenda
info@constructionchemicaltz.com ambatanisha barua ya maombi pamoja na CV ikiwa pamoja na barua ya wafadhili wako wawili.

Mshahara ni Makubaliano
 
Hiyo gari yenyewe haina hata hiyo miaka kumi.!. Ndoa yako haina hiyo ten years. Sasa experience yote hiyo inahuuu. Jipange
 
Hyo kampuni haina jina,hakuna hata job specification?
 
uzoefu miaka 10!! Hahahahaha yan ni sheeeeda
 
Sasa mtu mwenye uzoefu wa miaka 10 mkuu si anakua kwenye senior position tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom