Nafasi za kazi, banking officers TPB Bank

Mliyoitwa kwenye hii interview picha linaanza kwenye aptitude test msishangae watu kupata maswali yote,Ukiwachunguza ni wale wale wanaojitolea wanafanya interview kwa geresha tu kwa wale wamikoani hiyo nauli bora muongezee kwenye mtaji ila sio kwa hawa jamaa mtarundikwa pale Law School mpaka mkome
 
Sidhani Kama geresha itakua possible kwa kigezo cha NIDA #, anyway kama uwezo unao hata Kama upo mbali it's better to try your luck.. Maana 50+ nafasi ni nyingi Sana hasa ukilinganisha kwa usawa huu wa uhaba wa ajira tulio nao, kila siku kutangazwa nafasi moja au mbili, itakua more than 50+!!!
 
Yani ukisoma comment humu za watu utadhani wanafanya kazi yenye mishahara ya AFDB au pengine wanakazi za maana kumbe kajamba nani tu kama sie apeche alolo SHWAIN ZENU mnajikuta nani kwa mfano
 
Logistic za uko zikoje nina ndugu yangu aliomba ameitwa amekata tamaa ya kwenda I don't know why na yy no tarehe 8
 
Amptitude test ya siku 3 yaani tarehe 8/9/10 ya mwezi March ukipiga hesabu haraka haraka inakatisha tamaa sasa idadi ya watu ni kubwa, hizi amptitude test mbona wangetuma tu link unafanyia tu mahali ulipo then ukipita ndio unaenda kwenye oral.Teknolojia imekuwa sana saa zingine wafikirie namna ya kurahisisha mambo, au ingewezekana interview zikawekwa kwa kanda mbona simple tu, sasa wasailiwa wote waende Dar.

wale wa tarehe 8 mkimaliza mtupe mrejesho ilikuwaje.
 
Mkuu bahati haikuwa yako....mbonaa wengine hatuja shikwaa mkonoo tumeitwaa interview tarehe 8

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
humu jukwaani mtakuja muuane hata kwa presha badala ya covid-19 mjue tu kuwa hata kama mlisoma pamoja hamuwezi kuwa na cv inayofanana hivyo basi lazima mmoja ataitwa mwingine atabaki kama ni bahati kwako basi mpe moyo mwenzio wapo waliopokea ujumbe wa shotlisted au bado cjui lakini woye wamoja upo kazini unataka kubadili kazi wapo wanaotaka kuingia pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom