P Patflax jr Member Joined Apr 11, 2011 Posts 72 Reaction score 1 Jun 6, 2014 #1 Saluti kwenu wanajamvi kuonesha nawaheshimu. Napenda kuuliza kama kuna mwenye fununi za ajira bandarini maana kuna tetesi nilisikia kuwa wametoa nafasi upande wa Takwimu ila kila nikijaribu kutafuta source ya taarifa hiyo nakosa. Msaada plz
Saluti kwenu wanajamvi kuonesha nawaheshimu. Napenda kuuliza kama kuna mwenye fununi za ajira bandarini maana kuna tetesi nilisikia kuwa wametoa nafasi upande wa Takwimu ila kila nikijaribu kutafuta source ya taarifa hiyo nakosa. Msaada plz
Kobe JF-Expert Member Joined Jun 17, 2009 Posts 1,793 Reaction score 814 Jun 7, 2014 #2 Bora ujitose macho makavu ofisi ya utawala hapo utapata jibu lako.
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,762 Reaction score 2,069 Jun 7, 2014 #3 Nenda na bahasha ya kaki¡!!¡!¡!¡
L lavista Member Joined Apr 9, 2014 Posts 35 Reaction score 2 Jun 7, 2014 #4 bandari sasa wanachukua watu kupitia taasisi za serikali kama ERB.kwa ma engineer
I Innocent msokwa Member Joined Apr 12, 2012 Posts 42 Reaction score 1 Jun 8, 2014 #5 Hapo kupata kz mpaka uwe na ndugu ,au utoe haram ndo mambo yataenda