R rchugga updates Member Joined May 25, 2012 Posts 8 Reaction score 1 Jun 3, 2012 #1 Nafasi za kazi Arusha zinatolewa na (rchugga.blogspot.com) Tembelea libenege hilo kwa habari zaidi. Asanteni.
Nafasi za kazi Arusha zinatolewa na (rchugga.blogspot.com) Tembelea libenege hilo kwa habari zaidi. Asanteni.
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 Jun 3, 2012 #2 Hauja tusaidi bali unafanya promotion kwaajili ya blog yenu. Nilitegemea hizo nafasi za kazi utaziweka humu.
Hauja tusaidi bali unafanya promotion kwaajili ya blog yenu. Nilitegemea hizo nafasi za kazi utaziweka humu.
mapanga3 JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 665 Reaction score 635 Jun 3, 2012 #3 funguka ueleweke mkuu
Mghoshingwa JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 305 Reaction score 73 Jun 3, 2012 #4 i hate the adverts about blogs.
G gideons New Member Joined May 31, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Jun 4, 2012 #5 hizo kaz za arusha ziko wap sasa?
D debito JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 200 Reaction score 33 Jun 4, 2012 #6 duh!kaaz kwelikweli
A achilles Senior Member Joined Oct 10, 2011 Posts 109 Reaction score 18 Jun 4, 2012 #7 Kwa hiyo hizi ndio nafasi zenyew au? hakina kazi hapa no promo tu ya hii blog yenu.THERE IS AN ILLITERATE MISMATCH BETEEWN THE TITLE AND IT CONTENT
Kwa hiyo hizi ndio nafasi zenyew au? hakina kazi hapa no promo tu ya hii blog yenu.THERE IS AN ILLITERATE MISMATCH BETEEWN THE TITLE AND IT CONTENT
dogojanja 87 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 882 Reaction score 213 Jun 5, 2012 #8 umemlipa Malecela sh ngapi kwa hilo tangazo lako,au ndo kudandia nyota za wenzenu..
Baba Mtu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2008 Posts 870 Reaction score 170 Jun 5, 2012 #9 ruttashobolwa said: Hauja tusaidi bali unafanya promotion kwaajili ya blog yenu. Nilitegemea hizo nafasi za kazi utaziweka humu. Click to expand... Bado ni mgeni humu, akikua ataacha Join Date : 22nd February 2012 Posts : 630 Rep Power : 441 Likes Received: 102 Likes Given: 0
ruttashobolwa said: Hauja tusaidi bali unafanya promotion kwaajili ya blog yenu. Nilitegemea hizo nafasi za kazi utaziweka humu. Click to expand... Bado ni mgeni humu, akikua ataacha Join Date : 22nd February 2012 Posts : 630 Rep Power : 441 Likes Received: 102 Likes Given: 0
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,958 Jun 6, 2012 #10 ha ha ha ha ha ha!
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 893 Jun 6, 2012 #11 ruttashobolwa said: Hauja tusaidi bali unafanya promotion kwaajili ya blog yenu. Nilitegemea hizo nafasi za kazi utaziweka humu. Click to expand... kabisa mkuu, angetuwekea izo kazi hapa, sisi tunge bookmark web page yake, lakini namna alivofanya ni ya kichoyo zaidi.
ruttashobolwa said: Hauja tusaidi bali unafanya promotion kwaajili ya blog yenu. Nilitegemea hizo nafasi za kazi utaziweka humu. Click to expand... kabisa mkuu, angetuwekea izo kazi hapa, sisi tunge bookmark web page yake, lakini namna alivofanya ni ya kichoyo zaidi.
M Mantisa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 322 Reaction score 235 Jun 6, 2012 #12 Weka details zilizokamilka. Maana unawasumbua watu na title kubwa then hakuna kitu.
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 Jun 6, 2012 #13 Unaweza ukawa ume join long time lakini uelewe wa kutumia jf vizuri ukawa mdogo kama ulivyo tudhihirishia ndugu. Jaribu kutumia vizuri nafasi uliyo pata.
Unaweza ukawa ume join long time lakini uelewe wa kutumia jf vizuri ukawa mdogo kama ulivyo tudhihirishia ndugu. Jaribu kutumia vizuri nafasi uliyo pata.
Kabaizer JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 504 Reaction score 64 Jun 6, 2012 #14 Kusema kweli kaka ucjifanye mjuaj ,ila .haujatenda haki bali umefanya promo na hyo blog yako,asante kwa kujaribu!
Kusema kweli kaka ucjifanye mjuaj ,ila .haujatenda haki bali umefanya promo na hyo blog yako,asante kwa kujaribu!
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jun 6, 2012 #15 rchugga updates said: Nafasi za kazi Arusha zinatolewa na (rchugga.blogspot.com) Tembelea libenege hilo kwa habari zaidi. Asanteni. Click to expand... Umelipia kamanda....
rchugga updates said: Nafasi za kazi Arusha zinatolewa na (rchugga.blogspot.com) Tembelea libenege hilo kwa habari zaidi. Asanteni. Click to expand... Umelipia kamanda....