NAFASI ZA KAZI AMRET MICROFINANCE

NAFASI ZA KAZI AMRET MICROFINANCE

MS Junior

Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
10
Reaction score
7
Amret Microfinance wameita kwa ajili ya usaili naombeni kujua kwani naona wamenitumia mail yao wanasema usaili utafanyikia Serena hotel na ninatakiwa kulipia Tsh 7000 kwa ajili ya Refreshment na Lunch kwani hawataruhusu mtu kutoka mpaka wamalize usaili wao utakaoanza Sa3asubuhi -sa9jioni
naombeni msaada wenu nisijenikatapeliwa buku7 yangu.
Wanasema eti wanaanza operation yao next month yaani may kwa Tanzania.
 
Kimbia fastaaa....bora uweke bundle uendelee na kuperuzi JF
 
Mkuu kuwa makini hizo mbwembwe za mchango for lunch and refreshments kwan hiyo ni interview ama picnic?. Mimi nilitapeliwa 4500/= kistyle hyo
 
Mkuu Pole sana na Graduate wote mliokumbwa na Hili hata Mimi nilisota sana kabla ya kutusua Jobtanzania.net ambao walitangaza kazi wamewajia juu kwa kuita watu kwenye interview na Kutoza kiasi hicho cha fedha na Wamewaomba muwe makini na Ulaghai (Scams)

-Pia Natahadharisha Vijana wanaopenda ganda la ndizi Wadogo Zangu mkisikia Serena Hotel mjue ni Hotel ya Nyota 5 Binafsi nilishawahi kula Serena Hotel Chakula ni Sh. 35,000 Bufee hivyo Wazungu Wanasema if the offer is too good think twice sh. 7,000 ni bei ya Viazi vikavu na nyama ya mbuzi katika local Bar. Sasa wewe umeambiwa Chakula+Lunch kitakachotolewa na Serena Hotel utalipia 7,000 Kweli? Tutumie akili Japo 7,000 ni pesa kidogo itakusaidia kupata Bando.

Dear All,

Please accept our apologies.

Recently we published the job adverts from a kenyan company which goes by the name "Amret Microfinance Bank" for the post listed as mentioned bellow;-

=> Bank Tellers at Amret Microfinance Bank
=> Receptionists at Amret Microfinance
=> Credit Officers at Amret Microfinance
=> Graduate Trainees at AMRET Microfinance

But it has come to our attention the so claimed company is requesting money from candidates who are invited for the interview.

Their email reads as quoted bellow:

You are hereby invited for the final interview and an aptitude and psychometric tests on Tuesday, 27/03/2018 at the Dar es Salaam Serena Hotel, PDR Room, 3th Floor starting 9.00 AM to 3.00 PM.Dar es Salaam Serena Hotel is located at Ohio Street, Central Business District, Dar es Salaam.
There will be refreshments and lunch to be served at the Dar es Salaam Serena Hotel and it will be charged Tsh. 7,000. This will cater for the refreshments and lunch during the process so we do not have candidates going out of the venue so we can finish up on time. All other materials will be provided on the venue. Please note that it is the candidate who will pay this amount.

We have tried to contact them through their mobile phones and emails but they have not responded to any of our calls.

For further actions, we have removed all their job adverts on our platform and we are requesting candidated to not comply with their request of sending money.

We appologise for any inconvinience caused as we usually make sure we publish jobs which are genuine.

Please, notify who ever applied for these jobs to ignore them as they are just SCAMS.

AVOID SCAMS:
NEVER pay to have your CV / Application pushed forward.

Any job vacancy requesting payment for any reason is a SCAM. If you are requested to make a payment for any reason, please notify us by sending an email to "jobs@jobstanzania.net"

JobsTanzania.net endeavors to ensure that all job adverts on our site are for legitimate job opportunities and will remove any advert identified to have contravened the Jobstanzania Terms and Conditions.
 
Ahsante sana Mkuu kwa kunifumbua macho.
Nimepata ufafanuzi mzuri sana
Naona hawa jamaa imekula kwao sasa
 
IMG_20180420_071636.jpg

Jamaa walishatoa angalizo.
 
Back
Top Bottom