Babuu Murasa
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 229
- 120
Amani iwe nanyi nyote. Fidcom Microfinance Limited imetangaza nafasi za maafisa mikopo.Sifa uwe na Certificate /Diploma.
Tafadhali tuma barua yako ya maombi pamoja na CV(usiweke vyeti) kwenda kwa mkurugenzi mtendaji, Fidcom Mfi ltd,
email adress. fidcom.mfl@gmail.com
Eneo la kazi.Korogwe-Tanga.
Tafadhali tuma barua yako ya maombi pamoja na CV(usiweke vyeti) kwenda kwa mkurugenzi mtendaji, Fidcom Mfi ltd,
email adress. fidcom.mfl@gmail.com
Eneo la kazi.Korogwe-Tanga.