Nafasi za kazi- ABS

Nafasi za kazi- ABS

Ommylady

Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
23
Reaction score
4
Kampuni ya ABS inatangaza nafasi za kazi ya kusambaza vyombo, mshahara ni laki mbili kwa mwezi na posho elfu sita kwa siku.

MAWASILIANO 0718751075
 
Wanasema tusichague kazi ila kwa hii mhhhh napita tu ngoja wajaribu wengine.
 
kusambaza kwa kuuza au kupeleka tu sehemu mbalimbali? Ninavyojua kazi hii kama ni ya kuuza malipo yake lazima yatokane na mauzo so lazma kuwe na target fulani
 
Kampuni ya ABS inatangaza nafasi za kazi ya kusambaza vyombo, mshahara ni laki mbili kwa mwezi na posho elfu sita kwa siku. MAWASILIANO 0718751075

Kampuni tena jamani kusambaza vyombo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom