Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

Hatulumbani mbona, sema pesa ikikosekana kawaida mtu kuwa mbogo
yani kuna muda bwana nakuona wewe ni kama yule tapeli tulio mfukuza humu maana yupo kama wewe alianza ivi ivi ,sasa naona na wewe umeanza kuwaaminisha watu uongo wakat na wewe unasubiri kitoweo humu ili watu wakufuate pm kukuomba connection akati na wewe unauza maji ya kandoro
 
Mimi sina connection, hata bwana yule tumefahamiana juzi tu. Ningemfaham mapema mbona mambo yangekuwa byeee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom