Nafasi za kazi 16/07/2014

tunashukuru
 
sasa kama ndo ivyo si bora hizi kazi mngezitangaza kanisani kwenu? yann kutaka mtu aamie kwenye kanisa lako??
 
duh kusali mtoni hpo ndiyo pamekaa vibaya binafsi sintoweza

Usiogope ndugu. Mtoni (kwa muktadha wa hilo tangazo) ni eneo, sio sehemu ya maji. Ni kama vile ilivyo Forodhani, Mtendeni, Mkunazini, Mianzini nk. Ni jina la eneo tu. Omba hiyo kazi
 
Njia rahis ilikua kutangaza Kazi hiyo makanisani kwenu maana kwa hapa inaonyesha jinsi gani udin upo kwenye maeneo ya Kazi na kwa hapo ni rahisi kumpata MTU mwenye vigezo hivyo lakini atakua feki. Vigezo vyote mnavyohitaji ni sawa lakin hapo kwenye dini!
 
nimeona nitoe ufafanuzi kidogo, kwanza hili ni kanisa na linafanya kazi na shirika la kikristo hivyo kila shirika lina mission na dira. sasa hivi tukiajiri mtu asie mkristo atawezaje kusimamia maono na utume wa huduma. kama tungekua na ubaguzi basi tungeishia kutangaza kanisani tu lakini tangazo limetangazwa kuanzia kanisani na pia tumeona tuwatangazie na watanzania popote wenye vigezo wajaribu bahati yao. kama una vigezo bila shaka hauwezi kulalamika. kumbuka hii ni kazi ambayo ndani yake ni huduma ya kumtumikia Mungu kwa njia ya watoto maskini na kwa muktadha wa kazi na majukumu inakubidi uwe ni mtu wa kudumu wa mahali hapo . sasa nakushauri kuliko kuwapotosha watu kama haujakidhi vigezo ni heri kuwaachia wenzako watafakari na kuomba kazi. kila kazi ina sifa na vigezo vinavyohitajika . kwahiyo hakuna kosa lolote lililofanyika kwa kutangaza nafasi hii humu. na si lazima kila jambo likufurahishe ndio lionekane jema kwa kila mtu. nawatakia kazi njema
 

na sisi ambao ni wakatoliki na walutherani si ni wakristo???........tunaweza pata hiyo kazi??....maana sio kila mkristo ameokoka........japo mnataka wakristo....na nikituma application zangu na nna vigezo ila sina barua kutoka kwa mchungaji inakuwaje???
 
zingatia vigezo .kukosekana kwa kigezo kimoja ni sababu ya kutokuchaguliwa. iwapo upo serious jitathmin mwenyewe ukiona una sifa zote fanyia kazi tangazo.
 
zingatia vigezo .kukosekana kwa kigezo kimoja ni sababu ya kutokuchaguliwa. iwapo upo serious jitathmin mwenyewe ukiona una sifa zote fanyia kazi tangazo.

Vip nikiambatanisha barua ya padri coz me ni mromani!
 
MKANKULE. Hembu fafanua hilo la kuhama kanisa maana tatizo liko hapo naweza nikawa mkristo niliyeokoka na vigezo vyote Lakini nikasali kanisani kwangu? Kote Mungu ni mmoja .
 
zingatia tangazo na maelezo yaliyotangulia .labda kama unahitaji mafafanuz piga simu kwa mawasiliano niliyoweka hapo kwenye tangazo.
 
walokole bwana !! sasa madhehebu yote yakifanya hvyo itakuwaje.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…