Ila msije interview na tai, njoo na vyeti na vitie kwenye mfuko wa nilon make bahsha ukikimbia ukaswet vitarowa
Jamani, ule mpango wa wanafunzi kupitia JWTZ mara baada ya kuhitimu kidato cha sita uliishia wapi?
mwnzng ht nashanga huo mpango ulikufaje, . .mana uli2tiaje presha enzi hyo watoto wa baba
Jamani, ule mpango wa wanafunzi kupitia JWTZ mara baada ya kuhitimu kidato cha sita uliishia wapi?
mmmmmmmmh ipo kazi! kila mtu na informer wake na kila informer na taarifa mgando! tuanze harakati za MOHAMMED Boaziz ukanda wa AFRICA mashariki nini maana hali hii sio hata kidogo.
WITHOUT PREJUDICE.
kuna chance za mgambo wa jiji zmetoka wakuu...
- :lol:
- :lol:
- :lol:
- :lol:
hahaha ivi hamjaka tamaa tu..teh teh march iyooo utashangaa 2013 nuthng has happned, mwe..huruma.
Haya Mwaka ushapita leo 2013, je upo Monduli? Naskia cku hzi kuna wireless kabisa pale Library mpya aliyofungua juzi kikwete so JF kama kawa, mwaka jana hola mwaka huu cjui!Kaka recruitment kila mwaka is inevitable bcoz mamia wanastaafu every year which creates a void that needs to be filled with new blood. Recruitment inaweza ikachelewa tu, lakini ipo mwaka huu kama kawa.
Ajira kwa kazi gani
wanayofanya jwtz!!kazi kula na kulala na kudandia daladala bure!tuna jkt
jwtz wanyamapori faya na moto since hawana kazi waje huku uraiani
kupiga mzigo