M mbwa mzee Senior Member Joined Jan 13, 2015 Posts 126 Reaction score 9 Nov 30, 2015 #1 Jamani kwa msaada anayejua nafasi za JKT zinatoka lini anisaidie nijue lini zinatoka nataka niingie ndani ya hicho chombo.
Jamani kwa msaada anayejua nafasi za JKT zinatoka lini anisaidie nijue lini zinatoka nataka niingie ndani ya hicho chombo.
M mbwa mzee Senior Member Joined Jan 13, 2015 Posts 126 Reaction score 9 Dec 1, 2015 Thread starter #2 mbna hamna msaada
DAKA MTUMBA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,288 Reaction score 805 Dec 1, 2015 #3 Kule wanaenda binadamu vijana, sasa wewe ni mbwa mzee itakuaje hapo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
S swaumunaswiru Member Joined Jan 24, 2014 Posts 51 Reaction score 8 Dec 1, 2015 #4 Jaman let us be serious,mwenzenu kauliza nafasi za jkt zinatoka lini,ni issue ya kumjibu zinatoka lini ma wala sio kejeri za ajabu.....
Jaman let us be serious,mwenzenu kauliza nafasi za jkt zinatoka lini,ni issue ya kumjibu zinatoka lini ma wala sio kejeri za ajabu.....
T Travisy Senior Member Joined Nov 6, 2015 Posts 175 Reaction score 60 Dec 1, 2015 #5 DAKA MTUMBA said: Kule wanaenda binadamu vijana, sasa wewe ni mbwa mzee itakuaje hapo? Click to expand... Ahahahahah duuh mkuu we ni janga la taifa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
DAKA MTUMBA said: Kule wanaenda binadamu vijana, sasa wewe ni mbwa mzee itakuaje hapo? Click to expand... Ahahahahah duuh mkuu we ni janga la taifa
T Travisy Senior Member Joined Nov 6, 2015 Posts 175 Reaction score 60 Dec 1, 2015 #6 mbwa mzee said: Jamani kwa msaada anayejua nafasi za JKT zinatoka lini anisaidie nijue lini zinatoka nataka niingie ndani ya hicho chombo. Click to expand... Mambo yasipobadilika Wanaingia kuanzia mwezi wa tatu ndugu Wa pili harakati zinaanza
mbwa mzee said: Jamani kwa msaada anayejua nafasi za JKT zinatoka lini anisaidie nijue lini zinatoka nataka niingie ndani ya hicho chombo. Click to expand... Mambo yasipobadilika Wanaingia kuanzia mwezi wa tatu ndugu Wa pili harakati zinaanza
Mika-II Member Joined May 16, 2015 Posts 24 Reaction score 11 Dec 16, 2015 #7 may be mapema mwakani brazaa kwa mwaka 2015 tayari vijana wanamaliza mafunzo ya awali
D Deogratius n JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 1,193 Reaction score 254 Dec 16, 2015 #8 jkt huwa wanaenda binadamu.. Labda upate nafasi kama id yako ili ukale mafunzo ya kutegua mabomu.
kiri12 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 638 Reaction score 558 Dec 16, 2015 #9 Ahaaaaaaahaaaaa