Nafasi za JESHI

Khaleed Shaban

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
399
Reaction score
58
Wana JF,naomba tujuzane pindi nafasi za jeshi zitakapotoka pamoja na sifa za kwenda uko jeshin pia ua zinatoka kila baada ya mda gani asante sana
 
wenzako wanasubiria wakiwa jkt, we unakuja kusubiria hapa. siku hizi wanafuatwa JKT.
 
Wana JF,naomba tujuzane pindi nafasi za jeshi zitakapotoka pamoja na sifa za kwenda uko jeshin pia ua zinatoka kila baada ya mda gani asante sana
tafuta nafasi uende JKT ndipo wanapochukuliwa huko hapa utasubiri sana labda mpaka yesu arudi
 
Ulikuw awapi wakati wenzio wanakwenda JKT last intake au ulikuwa unasubiri KAZI Uhamiaji?
 
Dah hay a mambo kweli hayana formula, juz mkuu wa jkt alikuja kambin kwetu akatukata main coz kuna wenzetu wanamaliza mikataba yao na wanarudi nyumban, miaka 2 for nothing.
 
kama msomi una sifa zako achana nna mawazo ya jeshi kunaukiritimba kuonean vijicho shids tupu bt kama unapenda nenda
 
poa mkuu jinsi ya kuomba ni vp?

Njia rahisi tafuta fomu, mtafute askari yoyote akufanyie mpango upate fomu.
Ila pia unaweza pita kwa washauri wa mgambo wa wilayani kujua zaidi.
 
poa mkuu jinsi ya kuomba ni vp?

Miaka 18 hadi 22. Elimu form IV div 3 au 4 ya pt 27. Physically and mentally fit. Mtanzania, vyeti visiwe na doa la forgery hata la kuhisiwa. Usitoe rushwa.
 
Dah hay a mambo kweli hayana formula, juz mkuu wa jkt alikuja kambin kwetu akatukata main coz kuna wenzetu wanamaliza mikataba yao na wanarudi nyumban, miaka 2 for nothing.

duh,inamaana hamna aliyechaguliwa kwenye usaili waliofanya wa kujiunga na jeshi la wananchi wa tanzania?mpaka warudi nyumbani
 
Dah hay a mambo kweli hayana formula, juz mkuu wa jkt alikuja kambin kwetu akatukata main coz kuna wenzetu wanamaliza mikataba yao na wanarudi nyumban, miaka 2 for nothing.

Kwani uliposaini mkataba wa kujiunga JKT uliusomaje? Na ni vipi unashangaa muda huu?
 
duh,inamaana hamna aliyechaguliwa kwenye usaili waliofanya wa kujiunga na jeshi la wananchi wa tanzania?mpaka warudi nyumbani

Wanaomaliza JKT kwa kujitolea wanaweza kujiunga na JW, magereza, polisi, reli, usalama wa taifa, zima moto, uhamiaji, SUMA JKT na Bandari, inategemeana na badget ya kitengo husika. Badget ya 2014/15 inaanza kutumika Jul 01, hivyo waombe Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…