BradFord93 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 921 Reaction score 2,243 Oct 20, 2017 #1 Kuna mtu kaniambia kuwa nafasi zimetoka za jeshi na yeye kajaza ameshachaguliwa anasubiri post. Hivi Ni KWELI jman??
Kuna mtu kaniambia kuwa nafasi zimetoka za jeshi na yeye kajaza ameshachaguliwa anasubiri post. Hivi Ni KWELI jman??
R RtsHjcq JF-Expert Member Joined Aug 19, 2017 Posts 4,753 Reaction score 5,516 Oct 20, 2017 #2 Me huwa nadhani jeshini hamna nafasi za kazi,labda kusajiliwa.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Oct 20, 2017 #3 BradFord93 said: Kuna mtu kaniambia kuwa nafasi zimetoka za jeshi na yeye kajaza ameshachaguliwa anasubiri post. Hivi Ni KWELI jman?? Click to expand... Sidhani kama ni kweli au ni wale matapeli wamemuingiza mjini
BradFord93 said: Kuna mtu kaniambia kuwa nafasi zimetoka za jeshi na yeye kajaza ameshachaguliwa anasubiri post. Hivi Ni KWELI jman?? Click to expand... Sidhani kama ni kweli au ni wale matapeli wamemuingiza mjini
kiuri New Member Joined May 25, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Oct 20, 2017 #5 BradFord93 said: Kuna mtu kaniambia kuwa nafasi zimetoka za jeshi na yeye kajaza ameshachaguliwa anasubiri post. Hivi Ni KWELI jman?? Click to expand... Kwan huyo alie kujulisha yeye kakupa maelezo gani ya ziada zaidi ya kuwa amechaguliwa?
BradFord93 said: Kuna mtu kaniambia kuwa nafasi zimetoka za jeshi na yeye kajaza ameshachaguliwa anasubiri post. Hivi Ni KWELI jman?? Click to expand... Kwan huyo alie kujulisha yeye kakupa maelezo gani ya ziada zaidi ya kuwa amechaguliwa?
omar khanmis makame Member Joined Aug 11, 2017 Posts 60 Reaction score 28 Oct 20, 2017 #6 Kipindi gani au mwez gani alikwambia anategemea kuchukuliwa
Chimoto JF-Expert Member Joined May 30, 2017 Posts 293 Reaction score 124 Oct 20, 2017 #7 Ameingizwa mjin huyoo
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,290 Oct 20, 2017 #8 Kishatapeliwa masikini weee lazima mchakato uanzie ngazi ya kijiji had mkoani wawashindanishe kwa mbio mnaotokea uraiani kwa jkt mbio kidogo tunakamata kadhaa ukaguz wa vyeti vipimo mnasubili matokeo nje ya hapo jamaa yako kalizwa.
Kishatapeliwa masikini weee lazima mchakato uanzie ngazi ya kijiji had mkoani wawashindanishe kwa mbio mnaotokea uraiani kwa jkt mbio kidogo tunakamata kadhaa ukaguz wa vyeti vipimo mnasubili matokeo nje ya hapo jamaa yako kalizwa.
popoma JF-Expert Member Joined May 5, 2017 Posts 2,378 Reaction score 3,362 Oct 20, 2017 #9 BradFord93 said: Kuna mtu kaniambia kuwa nafasi zimetoka za jeshi na yeye kajaza ameshachaguliwa anasubiri post. Hivi Ni KWELI jman?? Click to expand... Bila watu kama yeye dunia haiwezi kwenda
BradFord93 said: Kuna mtu kaniambia kuwa nafasi zimetoka za jeshi na yeye kajaza ameshachaguliwa anasubiri post. Hivi Ni KWELI jman?? Click to expand... Bila watu kama yeye dunia haiwezi kwenda
mbeyakwetu JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 723 Reaction score 396 Oct 20, 2017 #10 atakuwa katumiwa ujumbe na wale tapeli wa kujifanya wakuu wa jeshi
Bonde la Baraka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 4,580 Reaction score 7,953 Oct 20, 2017 #11 Hapo ni moja kati ya haya; 1.Huyo mtu ni tapeli 2.Huyo mtu kishatapeliwa.
Lissa lee Senior Member Joined Jul 18, 2017 Posts 182 Reaction score 204 Oct 21, 2017 #12 mbeyakwetu said: atakuwa katumiwa ujumbe na wale tapeli wa kujifanya wakuu wa jeshi Click to expand... bila shaka,, katapeliwa huyoo,,, mm mwenyew kutwa meseji kama hizo wananitumia
mbeyakwetu said: atakuwa katumiwa ujumbe na wale tapeli wa kujifanya wakuu wa jeshi Click to expand... bila shaka,, katapeliwa huyoo,,, mm mwenyew kutwa meseji kama hizo wananitumia
mbeyakwetu JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 723 Reaction score 396 Oct 22, 2017 #13 Lissa lee said: bila shaka,, katapeliwa huyoo,,, mm mwenyew kutwa meseji kama hizo wananitumia Click to expand... pole yake mm nikitumiwa ya hivo namuuliza zipo ngapi nije huwa sijibiwi tena yaan
Lissa lee said: bila shaka,, katapeliwa huyoo,,, mm mwenyew kutwa meseji kama hizo wananitumia Click to expand... pole yake mm nikitumiwa ya hivo namuuliza zipo ngapi nije huwa sijibiwi tena yaan
Jerry santonga JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 647 Reaction score 565 Oct 22, 2017 #14 uncle02 said: Me huwa nadhani jeshini hamna nafasi za kazi,labda kusajiliwa. Click to expand... Ni kuandikishwa hasajiliwi mtu pale
uncle02 said: Me huwa nadhani jeshini hamna nafasi za kazi,labda kusajiliwa. Click to expand... Ni kuandikishwa hasajiliwi mtu pale