Mount Everest Ilala Hostel iliyopo Ilala, mtaa wa Lindi inapenda kukutangazia kuwa tuna nafasi za vyumba kwa ajili ya Hostel kwa wanafunzi wanaohitaji. Hostel ina huduam zifuatazo :
24 Hrs standby Generator
24 Hrs security
Huduma za usafi
Sehemu ya kufulia
Huduma za Laundry kwa gharama nafuu
Chumba kikubwa cha kusomea
Sehemu maalum ya kulia chakula
Mgahawa ndani ya Hostel kwa mahitaji ya chakula na vinywaji
Free WiFi internet connection
Vyumba vyenye vyoo na bafu ndani
Meza za kusomea vyumbani
Kabati maalum za kuhifadhi vitu vyumbani
Feni vyumbani
Jengo lipo barabarani
Parking ya kutosha
AINA ZA VYUMBA NA BEI :
ROOMS TYPE 1
- Inachukua jumla ya watu wawili (2) katika chumba kimoja
- Ina kitanda kimoja (1) Double Decker
- Bei ni TSH 85,000 kwa mtu mmoja
ROOMS TYPE 2
- Inachukua jumla ya watu wanne (4) katika chumba kimoja
- Ina kitanda viwili (2) vya Double Decker
- Bei ni TSH 75,000 kwa mtu mmoja
ROOMS TYPE 3
- Inachukua jumla ya watu sita (6) katika chumba kimoja
- Ina kitanda vitatu (3) vya Double Decker
- Bei ni TSH 60,000 kwa mtu mmoja
Kwa mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa :
Mount Everest Ilala Hostel
Mtaa wa Lindi, Ilala
Dar Es Salaam, Tanzania
+255 743 182 874, +255 652 139 188 mounteverestilalahostel@gmail.com